Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA SPORTS CLUB: KIPA WA ZAMANI ABEL DHAIRA AMEFARIKI DUNIA


Aliyekuwa kipa hodari ws Simbs S.C. na Uganda, Abel Dhaira, amefariki dunia...Dhaira alikuwa na miaka 28 alipokata kauli na chanzo cha kifo ni saratani...Shirikisho la soka Uganda limethibitisha kuondoka kwake na kusema alifia Iceland alipokuwa akiishi na kucheza mpira...Dhaira alikuwa anaichezea timu ya IBV Vestmannaeyjar ya Iceland...Amewahi kuchezea timu za Express F.C. ya Uganda, Vita ya DR Congo na Simba S.C...Pumzika kwa amani...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar