Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

YOUNG AFRICANS FC: MANJI AITISHA MKUTANO KABLA YA MKUTANO WA UAMUZI WA KUKODISHA TIMU OKTOBA 23


Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ameitisha kikao na wenyeziti wa matawi kujadili agenda ya mkutano wa tarehe 23...
Mkutano huo wa tarehe 23 ndio utakao amua kama Young Africans FC (Yanga) ikodishwa au la...Mkutano huo ulifanyika jana kwenye makao makuu ya timu ya Yanga mtaa wa Jangwani na Twiga...Mkwa mujibu wa waliohudhulia mkutano huo ni kwamba Manji alitaka kusikia maoni ya wenyeviti na kupanga agenda ya kikao hicho cha maamuzi...Kwa ufupi tu mwenyekiti wa tawi la Ubungo alisema "lakini wajue, Yanga tulishafanya maamuzi"...Kwa mtazamo wa haraka ni kwamba Manji atapewa timu aiendeshe.

Yorum Gönder

0 Yorumlar